📺 TV ZETU – COMFORTER TV ONLINE & SAUTI YA AFRIKA 🎥
🎥 1. COMFORTER TV ONLINE Hii ni channel ya kisasa inayolenga kuelimisha, kuburudisha, na kuinua jamii kupitia maudhui ya: Elimu ya ujasiriamali na maisha Mahojiano ya watu waliopitia changamoto na kufanikiwa Vipindi vya vijana, wanawake, na watoto Vipaji (Talent Shows) na matangazo ya maendeleo ya jamii 📡 Inapatikana mtandaoni kupitia YouTube na mitandao ya kijamii. 💬 “Tunatoa faraja, elimu na mwelekeo kwa jamii kupitia mitandao.”