KARIBU KWENYE PLATFORM YETU
Karibu kwenye Blog Rasmi ya COMFORTER Opportunity!
COMFORTER Opportunity ni taasisi inayojihusisha na:
✅ Huduma kwa jamii
✅ Msaada kwa mayatima
✅ Elimu na mafunzo ya ujasiriamali
✅ Mikutano ya vijana na vipaji
Kupitia blog hii, tutakuwa tukichapisha:
📌 Matangazo
📌 Mafanikio yetu
📌 Fursa za kushiriki
📌 Ratiba ya matukio
📌 Dondoo za kila siku
Tunaamini katika kusaidia na kuinua wengine. Tembelea mara kwa mara kujifunza, kushiriki, na kuwa sehemu ya mabadiliko chanya.
Wasiliana nasi:
📧 Email: comfortercampany87@gmail.com
📱 WhatsApp: +255793793555
Asante kwa kutembelea blog yetu!

Comments
Post a Comment