COMFORTER PARTNERSHIP

 



🤝 COMFORTER OPPORTUNITY PARTNERSHIP

Comforter Opportunity ni shirika linalolenga kubadilisha maisha ya jamii kwa kutoa elimu, mafunzo ya ujasiriamali, msaada kwa watoto yatima, na kukuza vipaji vya vijana.

Tunakaribisha wafadhili, mashirika, taasisi, na watu binafsi kushirikiana nasi katika kutimiza maono haya. Ushirikiano unaweza kuwa kwa njia ya:

🔹 Kifedha: Kusaidia kufadhili miradi ya kijamii
🔹 Kitaalamu: Kutoa mafunzo, ushauri, au vifaa
🔹 Kijamii: Kushirikiana kwenye matukio ya vijana, vipaji au kampeni za kijamii
🔹 Kibiashara: Kufanya kazi pamoja kwa njia ya CSR (Corporate Social Responsibility)

Kupitia ushirikiano huu, tutakuwa na nafasi kubwa ya:
✅ Kuwafikia watoto na vijana wengi zaidi
✅ Kuleta mabadiliko ya kweli kwenye jamii
✅ Kujenga kizazi chenye ujuzi, maadili, na matumaini

Comments

MY ACTIVITY

KARIBU KWENYE PLATFORM YETU

COMFORTER MANEGEMENT